| by Rajabu mrisho | 1 comment

Nini ufanye ili kuepukana na umasikini?

-Ni vyepesi mtu kutoka katika hali ya umasikini mpaka hali ya juu kama tu utaamini yafuatayo “ketengeneza pesa haihitaji tu pesa”..

-Hivyo kama pesa sio kitu cha kwanza kuweza kuweza kuwa tajiri ni nini hicho?.

-kitu kikubwa ambacho kinaweza kukufanya kuwa tajiri ni wazo /idea. Ukiwa na wazo chanya linaweza kukupelekea kupata unacho kitaka.

-Ukiwa tu na pesa bila kuwa na wazo chanya, pesa zako zunakuwa hatarini, mfano vijana wengi wanao maliza vyuo na kukosa ajira hujiingiza kwenye swala la biashara bila kuwa na wazo la kipekee kwenye hiyo biashara hivyo wengi hufeli na kuisha kusema kwamba biashara ni hatari.

-Ukiwa na wazo zuri linaweza kukufanya kuwa tajiri mfano wa mtu alie kuwa na wazo chanya na akalibadili kuwa fursa ni Jeff Bezzoz mmiliki wa Amazon, tajiri wa kwanza duniani..

-Unaweza kuwa na wazo zuri lakini ukashindwa kuligeuza kuwa fursa kwako.

-Au ukajiuliza maswali mfano wa haya  • nitawezaje kulifanya wazo langu kuwa fursa?
  • Lakini sina pesa za ketengeneza fursa kupitia wazo langu
  • nitapataje watu wa kulisapoti wazo langu?
  • Lakini watu hawalikubali wazo langu?
  • Nani nitamueleza wazo langu anielewe
  • Nitawezaje ketengeneza wazo zuri?

Maswali hayo na mengine uliyo nayo tutayajibu kupitia website hii, hivyo kama unaswali unaweza comment.

MABADILIKO YANA ANZA NA WEWE

1
Leave a Reply

avatar
1 Comment threads
0 Thread replies
0 Followers
 
Most reacted comment
Hottest comment thread
1 Comment authors
Ally Recent comment authors
  Subscribe  
newest oldest
Notify of
Ally
Guest
Ally

Vzr Hi