| by Rajabu mrisho | No comments

Read More
| by Rajabu mrisho | 1 comment

Nini ufanye ili kuepukana na umasikini?

-Ni vyepesi mtu kutoka katika hali ya umasikini mpaka hali ya juu kama tu utaamini yafuatayo “ketengeneza pesa haihitaji tu pesa”.. -Hivyo kama pesa sio kitu cha kwanza kuweza kuweza kuwa tajiri ni nini hicho?. -kitu kikubwa ambacho kinaweza kukufanya kuwa tajiri ni wazo /idea. Ukiwa na wazo chanya linaweza kukupelekea kupata unacho kitaka. -Ukiwa […]

Read More
| by Rajabu mrisho | No comments

NJIA KUU NNE ZA KUWA TAJIRI

1.KUAJIRIWA -Njia hii ndio inafahamika na watu wengi. Wengi wanasoma wakitegemea waje waajiriwe. Faida za njia hii. -Ndio njia nyepesi ya mtu kujipatia kipato cha halali. Changamoto zake. -kwa zama hizi vijana wanao maliza vyuo wamekuwa wengi sana hivyo swala la kuajiliwa limekuwa kama bahati nasibu hiyo yote ni kwa sababu zama zimebadilika tupo zama […]

Read More
| by Rajabu mrisho | No comments

MTAZAMO POTOFU JUU YA UTAJIRI

MTAZAMO POTOFU JUU YA UTAJIRI Je, unahitaji kuwa tajiri? Tajiri wa mali, akili na kuongeza upendo kwenye mahusiao na kufanikwa kwenye maisha? Ili uweze kuwatajiri na kufanikwa kwenye maisha, kwanza inatakiwa uelewe baadhi ya mitazamo ya jamii juu ya utajiri na mafanikio kisha ubadili mtazamo wako. Zifuatazo ni baadhi ya mitazamo ya jamii juu ya […]

Read More